Tomtop >   thl     >

Pata Simu ya thl Knight 2 yenye uwezo wa kipekee kwa 570,000/= Tsh.   


Pata Simu ya thl Knight 2 yenye uwezo wa kipekee kwa 570,000/= Tsh. Order Sasa: 0787999448, 0746693781 IPO SOKONI ikiwa na WARRANT ya Mwaka mmoja. MUHIMU: Ukinunua simu ya thl hakiki warrant yako kama ilivyoelekezwa kwenye maelekezo yaliyopo ndani ya box la simu yako kupitia www.thl.co.tz kuepuka kuuziwa copy au simu isiyo na warrant. NDANI YA BOX MNA: 1. Charger 2: Wireless na ya Kawaida, Screen protector ya glass, Earphones za kisasa, Cover la simu NA Simu yenyewe. Simu yen...yewe Ina: Wireless charging capability(Ina uwezo wa ku-charge bila kuchomeka cable), 2. Camera yake inafanya kazi kwa mtindo wa jicho la binadamu linavyofanya kazi(Nyuma ina (13+5)MP na mbele 8MP), 3. Ina CPU nane(Inafanya kazi kwa speed ya ajabu), 4. Ina RAM 4GB, 5. Storage ina 64GB(Na unaweza kuongeza mpaka 512GB) hii kitu ni zaidi ya computer, 6. Android yake ni 7.0 iliyoboreshwa, 7. Battery 4200mAh na ina uwezo wa FAST charging ndani ya dakika 5 ina-charge 6% na unasubiri muda kidogo tu simu inajaa. Pia inakaa na charge kwa zaidi ya saa 30, 8. Screen yake ni 6 inch IPS technology1440*720Pixel HD+ 18:9 Aspect ratio, Full screen, 9. In finger print secirity, 10. In smart unlocking kwa kutumia FACE recognition. 11. Inaingia laini 2 za 4G LTE, pia unaweza kuitumia kwenye 3G na 2G, 12. Frame yake ni ya chuma kwa ajili ya usalama wa simu ikitokea ikianguka, 13. Muonekano wake ni wa kipekee NA FEATURES NYINGINE NYINGI. Kama ni SIMU hii ndio simu. Rangi ni Nyeusi na Blue. Wa Dar es Salaam kuanzia kesho 31 May 2018 wanaweza zipata ofisini kwetu, Ofisi ipo hapa Twiga Hosting Ltd, Josam House, Mwenge Coca cola road, Dar es Salaam. 0787999448, 0746693781 upewe maelekezo. Mikoani tutatoa maelekezo ya maduka zinakopatikana wiki ijayo kwa ile mikoa tunayoanza nayo AU PIA ANAYEHITAJI KWA HARAKA ANAWEZA AGIZA OFISINI KWETU TUKAMTUMIA. 展开

Published Date:    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    

Lixada| Best To Buy 2020|